- 👉 Karibu 22Bet
- 🏀 Mchezo wa betting
- 📈 Uuzaji wa Betting
- 📣 Mapitio ya Tovuti
- 💻 Sajili katika 22bet Kenya
- 🎯 Karibu Tolea
- 🚀 Kuweka betting moja kwa moja
- 💎 Vipengee vya Betting
- 🍒 22Bet Casino
- 🎲 Kasino moja kwa moja
- 🐎 Virtual Sports
- 🎮 eSports
- 🔊 Toleo la simu ya 22Bet
- 💡 Chaguzi za malipo
- ✅ Usalama wa Tovuti
- 🌏 Programu ya washirika
- ❓ Maswali na Majibu
- 🆗 Msaada wa Wateja
- ✨ Ukadiriaji 22Bet
Utangulizi kwa Kampuni ya 22Bet Kenya
Pindi tu unapojua una shauku ya kuwekeana dau, basi unafaa kujihusisha na kampuni iliyo na shauku na ari kama hiyo yako. Katika hili, unaweza ukafikiria kuhusu 22Bet Kenya. Kampuni hii ilianzishwa na wakereketwa wa kuwekeza dau na basi wanaelewa mambo yote muhimu katika uwekezaji huu kwa wateja. Kutokana na hili, 22Bet inajaribu kukupa platifomu murwa zaidi iliyo na huduma zote za kuwekeza dau kisasa. Miongoni mwa huduma hizi za kisasa ni kama soko pana la kuwekeana dau katika michezo mingi, njia rahisi za malipo, utoaji wa pesa kwa haraka, na mipango mingine mingi kwako mteja mwaminifu.
Michezo Iliyopo katika 22Bet
Baadhi ya michezo inayopatikana katika tovuti ya 22Bet ni kama kriketi, soka, tenisi, michezo ya UFC, mpira wa makapu, ESpoti, Futsal, mpira wa magongo kwenye barafu, gofu, mbio ya greyhound, mbio za farasi, tenisi ya mezani almaarufu table tennis, mpira wa wavu, bandy na floorball.
Katika michezo hii yote iliyoorodheshwa hapa juu, kampuni ya 22Bet inakupa mashindano ya aina zozote katika uwekezaji. Ligi zinazopatikana katika kampuni hii zinakupa michuano yote kutoka ile inayoongoza hadi ile ya chini.
Mipaka ya 22Bet ya Uwekezaji

22Bet ni kampuni mojawapo ya zile zinazokupa odi murwa katika ulingo wa kuwekeana dau katika baadhi ya soko. Ni vizuri ujue kuwa ushindi katika mpira wa soka unaweza ukawa takribani asilimia 97 hata ingawa baadhi ya michezo mingine inakupa odi kama hizi nzuri. Katika kutolea mfano, odi za mchezo wa tenisi ziko juu kuliko odi za wastani katika soko la kuwekeza dau. La mno ni kuwa kampuni ya 22Bet ina zaidi ya matukio 1000 kila siku na inakupa soko kabambe za kuwekeza dau zako.
22Bet ina takribani spoti 40, sifa ambayo inakupa nafasi nzuri ya kujishindia fedha nzuri. Hili ni kwa sababu wewe kama mteja, unaweza ukatafuta aina nyingi za mashindano hata yale ya hali ya chini mno na uwekeze dau yako. Baadhi ya ligi kama hizi ni ligi ya mpira wa makapu ya Nicaragua Second, ligi ya soka ya Saudi Arabia Second Division, ligi ya asoka ya Uganda Premier, michuano ya ITF na Ligi ya Soka ya Wanarika wa Slovakia.
Matukio katika 22Bet yanakupa nafasi ya kuwekeana dau katika aina tofauti za dau. Katika mipira mikuu, unaweza ukapata zaidi ya chaguo 1500 za kuwekeza huku ligi nyingine ndogo zikikupa chagua kadha. Vile vile, kuna fomu nyingi mno za handikapu takribani katika kila soko la 22Bet. Kwa kila tukio, una zaidi ya aina 30 za dau ambazo unaweza ukawekeza.
Tukifuatilia soko hizi murwa na odi za juu zinazopeanwa, swali muhimu ni lile la kiwango ambacho kimekubalika katika uwekezaji wa dau kwenye platifomu hii. La ukweli ni kuwa hakuna udhibiti au kizuizi chochote kwa kiasi cha pesa ambazo unaweza ukaziwekeza kwa dau. Uamuzi wako pamoja na soko unalolichagua ndizo zitakazokudhibitia kiwango. Hili linaamanisha kuna uwezekano mteja anaweza akadhibitiwa kwa njia moja au nyingine katika hali fulani. Ni vizuri ikumbukwe kuwa michezo ya daraja la chini inakupa nafasi yua kuwekeza kiwango kidogo cha fedha.
Ubunifu katika Tovuti, Mpangilio na Uzoefu wa Utumiaji
Ili kuwawezesha wateja kutumia sehemu kadha zilizo kwenye tovuti ya kampuni hii, tovuti ya 22Bet imeundwa kwa njia rahisi na mteja hasumbuki anapoitumia. Ukweli ni kuwa utafurahia kiolesura cha ajabu katika tovuti pindi tu unapouona ukurasa wa kwanza na viunga vielekezi katika sehemu tofauti. Katika viunga hivi, unapewa nafasi ya kuufikia ukurasa wowote unaouhitaji kwa muda mfupi zaidi kama iwezekanavyo.

Katika upande wa juu kulia wa tovuti, una chaguo la kuingia kwenye akaunti yako au hata kujiandikisha upya katika 22Bet. Vile vile, upande wa kushoto unakupa menyu inayoorodhesha mambo kadha na hivyo kurahisisha matumizi ya tovuti hii unapojaribu kuabiri tovuti ili kuzifikia huduma mbali mbali. Unapoguza chaguo la malipo katika ukurasa wa kwanza, unapewa njia tofauti za malipo na baadhi ya njia hizi ni kama kadi za benki pamoja na njia za kimtandao za malipo kama vile Skrill na Payoneer. Vile vile, unaweza ukafanikisha malipo kupitia kwa mikoba ya kimtandao, huduma za pesa kwenye rununu, pesa mkononi, benki za kimtandao, kadi za kulipwa kabla, stesheni za kujihudumia, ubadilishaji wa sarafu ya kimtandao, uhamishaji wa pesa katika benki na nyingine nyingi. Chaguo hizi zote za malipo zinakuwezesha kuwekeza dau unazozichagua ziwe ni zile za muda mfupi au hata za muda mrefu.
Jinsi ya Kujisajili katika 22Bet Kenya

Kabla ya kuwekeza dau katika tovuti ya 22Bet, unahitajika kujisajili. Usajili huu pia unakupa nafasi ya kujishindia bakshishi ya asilimia 100. Hatua ya kwanza ni kuitembelea tovuti na katika ukurasa wa kwanza, utaona chaguo la kujisajili katika upande wa kulia juu. Bonyeza chaguo hili la ‘Jisajili’ na baadaye ujaze maelezo yako binafsi kama vile nambari ya simu, jina utakalokuwa ukitumia katika tovuti na nywila yako.
Zaidi ya hilo, utahitaji kuiweka nywila kwa mara ya pili ili kuithibitisha. Baadaye bonyeza ‘Tuma ujumbe mfupi’ ili kukuwezesha kupata msimbo wa thibitisho unaofaa kuuweka katika tovuti kuthibitisha usajili wako. Pindi tu unapoweka maelezo haya binafsi, bonyeza kifungo cha kukamilisha usajili na basi utakuwa umejisajili katika 22Bet.
Bakshishi ya Makaribisho-Asilimia 100 hadi shilingi 15,000+

Unapomaliza tu kujisajili katika tovuti, unaweza ukaamua kuidai ofa yako ya mteja mpya wa 22Bet ambayo inakupa bakshishi ya hadi shilingi 15,000 katika akaunti yako mpya. Licha ya hilo, unaongezewa ambazo unaweza ukazibadilisha kwa pesa taslimu na kisha ziwekwe kwenye akaunti yako. La ajabu ni kuwa unaweza ukahitimu kupata bakshishi hii hata unapoweka pesa kidogo tu za kuanzia, naam hata ukiweka 1$ au Euro1utahitimu. Hata hivyo, ili kuhitimu kupata zawadi kamilifu ya shilingi 15,000, basi nawe ni lazima uweke pesa kama zizo hizo kama pesa za kwanza kwenye akaunti.
Ili kupata asilimia100 ya bakshishi hii, ni lazima kwanza ukamilishe usajili na uingie kwenye akaunti yako. Ingia katika sehemu ya ‘Akaunti Yangu’ na pia upeane maelezo yote yanayohitajika kwa kujaza sehemu zote. Baada ya kumaliza, utaulizwa iwapo ungependa kudai ofa yako ya bakshishi kwa mteja mpya na kama utachagua ndio, basi unafaa kuweka pesa yako ya kwanza na papo hapo unapata bakshishi yako ya asilimia 100.
Hata hivyo, ni vizuri kusoma sheria na masharti yanayotawala utunzaji wa bakshishi yoyote kwa wateja. Usomaji huu utakujuza mahitaji yote ambayo unafaa kuyatimiza ili kuhitimu utunzaji wa ofa tofauti. La muhimu zaidi ni kujua kuwa kuna sheria na masharti yanayoambatana na kila bakshishi inayotolewa na kampuni. Mwanzo, unafaa kuweka kiasi cha $1 au Euro 1 au kiwango kama hicho katika sarafu yako ili kupata bakshishi hii ya shilingi 15,000. Tuzo hili linawekwa kwenye akaunti yako pindi tu unapoweka kiwango cha pesa kinachokuhitimisha kuipata. Ili kuikomboa bakshishi hii, unafaa kukomboa bakshishi yako mara 5 ya jumla ya pesa ulizo nazo katika dau zako zote ili upate kibali cha kuanza kutoa ushindi unaotokana na bakshishi yako. Hata hivyo, ni lazima dau zako za ukombozi ziwe na odi ya zaidi ya 1.40 na dau zisipungua tatu. Unapewa siku 7 tu kufanya ukombozi huu wa bakshishi ya makaribisho.
Linganisha 22Bet na wabahatishaji wengine
Uwekezaji wa Dau katika Michezo Inayoendelea

22Bet inakupa nafasi ya kuwekeza katika michezo inayoendelea na hapa unaweza ukawekeza katika mchezo ambao tayari unaendelea. Jambo la muhimu kujua ni kwamba odi za michezo inayoendelea hubadilika pindi tu mchezo unapoenda mapumziko au wakati unapoisha. Vile vile, odi hizi zitakuwa tofauti katika kila mchezo na hivyo, unafaa kuangalia odi kwa makini kabla ya kuweka dau yako.
Kwa kila mchezo unaoendelea katika sehemu hii, utakuwa na nafasi ya kujitazamia takwimu za mchezo huo. Basi hapa unaweza ukafanya uchambuzi wako kwa makini na hivyo kufanya uamuzi mzuri wa mchezo utakaouwekezea dau.
Sifa Bainifu za Kuwekeza Dau Katika Spoti ndani ya 22Bet
Katika sehemu hii, tunakufafanulia sifa bainifu za uwekezaji wa dau katika sehemu ya spoti ya 22Bet ili uzijue na uwe na habari unapowekeza.
Kampuni ya 22Bet inakupa uwezo wa kuzitoa pesa zako kabla firimbi ya mwisho kupulizwa. Hapa, unaweza kutoa pesa zako katika dau moja au hata dau kadhaa. Soka ni mojawapo ya mchezo unaojumuishwa na unaweza ukatoa kabla mchezo kuanza au unapoendelea. Mwanzo, ni vizuri utafiti iwapo mchezo unaoushiriki unakubalisha utoaji kabla ya kuisha. Unaweza ukapata habari hii muhimu katika 22Bet lakini kwa mada ya Mauzo ya Slipu ya Dau almaarufu Bet Slip Sale.
Kampuni ya 22Bet inawapa wateja wake nafasi nzuri ya kujitazamia michuano aina tofauti kwa kupitia michoro ya moja kwa moja. Michoro hii katika tovuti ya Kampuni ya 22Bet inaonyeshwa badala ya video za ukweli za michezo fulani lakini angalau ni nafasi nzuri ya kujitazamia mambo yanavyoendelea nyanjani. Takribani kila mchezo wa moja kwa moja una nafasi hii katika 22Bet.
Hii ni mojawapo ya sifa jipya katika ulingo wa kuwekeza dau na basi wateja wa 22Bet nchini Kenya wanafaa kufurahia chaguo hili. Katika sehemu hii, unaweza ukafanya marekebisho katika dau zako zinazoendelea kwa kupitia chaguo tatu zinazotolewa. Chaguo hizi mi kama kubadilisha soko la dau lako, kughairi chaguo katika soko la dau zako na hatimaye unaweza kuongeza chaguo za dau katika slipu yako ya dau.
Kasino ya 22Bet
Sehemu hii inawapa wateja wa 22Bet nafasi ya kushiriki katika michezo kadha ya kasino. Miongoni mwa michezo hii ni kama Blackjack, Craps na Baccarat.
Hata hivyo, bahati mbaya ni kuwa sehemu hii ya kasino ya 22Bet haipatikani kwa wateja wa Kenya kwa sasa. Hata hivyo, tutazidi kukupasha zaidi iwapo 22Bet itaweza kupata leseni ya kuanzisha sehemu ya kasino nchini Kenya.
Kasino ya Moja kwa Moja
22Bet inatoa nafasi ya kasino ya moja kwa moja mahali ambapo wateja wanaweza wakacheza michezo ya kuzungusha na kukomboa katika kompyuta zao au hata rununu.
Kwa bahati mbaya tena, sehemu hii ya kasino ya moja kwa moja haipatikani katika 22Bet nchini Kenya. Hata hivyo, tunatumai kuwa mambo yatabadilika hivi karibuni ili wateja wa Kenya waweze kufikia michezo yote ya moja kwa moja ya kasino na kuifurahia.
Uwekezaji wa Dau katika Michezo Halisi

22Bet inatoa nafasi kwa wachezaji wake katika kushiriki kwa michezo halisi. Hili linamaanisha ya kwamba kuna baadhi ya michezo iliyo na odi zisizobadilika. Odi hizi, zinatengenezwa kwa kupitia nambari nasibu na hivyo kila mteja anapata matokeo yanayofanana.
Michezo halisi inayopatikana inatengenezwa na wataalam tofauti.Wataalam hawa ni kama Leap Gaming, Golden Race, 1X2 Network, EDGE Gaming na Global Bet. Wateja wanaweza wakajitosa katika michezo halisi ya soka, mpira wa wavu, mbio za farasi, Greyhounds, mbio za motokaa, uendeshaji wa baiskeli pamoja na vita za jogoo.
Kuwekeza katika Michezo ya Kielektroniki almaarufu esports betting
Wateja wa 22Bet nchini Kenya wana nafasi ya kuwekeza katika michezo ya mpira ya kielektroniki. Baadhi ya michezo hii inaweza ikapatikana katika sehemu ya michezo katika tovuti ya 22Bet. Mifano ya michezo hii ni kama FIFA, Call of duty, CS: GO, PES, Tekken, Starcraft, BattleField, Dota, League of Legends na mingine zaidi ya 30 katika orodha hii.
Soko pamoja na chaguo za kuwekeza dau zinazopatikana katika michezo ya kielektroniki ni sawa na zile za michezo ya kamari ya kawaida tu. Unaweza ukatengeneza faida nzuri kwani odi ni za hali ya juu. Unapotamani kuwekeza katika dau za moja kwa moja na kujitazamia mchezo huu kwa njia ya video, basi unaweza ukachagua e-spoti. Mambo haya yanaifanya e-spoti kuwa mojawapo ya sehemu zinazokupa burudani tele katika tovuti ya 22Bet.
Huduma za Rununu za 22Bet
Matumizi ya mtandao na teknolojia ya kisasa katika simu za mkononi yameongeza shughuli za kuwekeza dau na kuwapa wateja wengi wa kamari nafasi ya kuwekeza kwa faragha. Vile vile, 22Be inajikakamua mno kuhakikisha imewapa wateja wake starehe katika uwekezaji dau. Katika majaribio ya kuwawezesha wateja kupata huduma za hali ya juu za rununu, 22Bet imewapa wengi nafasi ya kuifikia tovuti yake kupitia simu za rununu kutoka pahali popote pale na hivyo kuwapa nafasi ya kuwekeza dau katika michezo anuwai.
Huduma zote za 22Bet za rununu zinapatikana katika tovuti ya kampuni hii na pia katika programu za simu katika toleo la Android na iOS.
Jambo la kuvutia katika matumizi ya programu za simu ni kuwa programu ya rununu ya 22Bet inakupa uzoefu mzuri wa kuwekeza dau. Hili ni kwa sababu utatumia maelezo sawa na yale uyatumiayo kwenye tarakilishi kufungua programu hii ya rununu. Hata na michezo pamoja na soko za uwekezaji hazibadiliki kamwe utumiapo rununu. Unahitaji tu kuwa umeunganishwa na mtandao ili upate huduma bora ya uwekezaji kwa njia ya rununu.
Njia za Malipo
Kwa sababu unaweza kuwekeana dau pindi tu uwekapo pesa kwenye akaunti yako ya 22Bet, uwekaji na ubihi wa fedha katika 22Bet ni muhimu mno. Basi, uwezo wa kuweka, kuwekeza dau na kubihi ushindi wako kutoka kwa akaunti yako ni mambo muhimu zaidi katika uwekezaji. Kama tulivyoona hapo awali, 22Bet imejikakamua sana kuboresha tovuti yake ili kumpa mteja yeyote yule ozoefu mzuri mno.
Kampuni hii ina orodha refu mno ya kampuni za malipo zitakazoendeleza shughuli zote za pesa kwa njia za kiteknojia. Njia hizi za kisasa ni kama cryptocurrencies ambayo inatambulika kwa usalama wake wa pesa mtandaoni, kwa kweli, yeyote anayetumia njia hii hana budi kuwa na amani moyoni kwani hii ni njia moja salama mno katika shughuli zote za malipo.
Njia ya malipo | Amana Min | Amana Max | Muda wa Amana | Uondoaji mdogo | Uondoaji Max | Muda wa Kuondoa |
---|---|---|---|---|---|---|
![]() | €1 | - | Mara moja | €1.50 | - | hadi siku 7 |
![]() | €1 | - | Mara moja | €1.50 | - | hadi siku 7 |
![]() | €1 | - | Mara moja | €1.50 | - | dakika 15 |
![]() | €1 | - | Mara moja | |||
![]() | €1 | - | Mara moja | €1.50 | - | dakika 15 |
![]() | €1 | - | Mara moja | €1.50 | - | dakika 15 |
![]() | €1 | - | Mara moja | €1.50 | - | dakika 15 |
![]() | €1 | - | Mara moja | |||
![]() | €1 | - | Mara moja | €1.50 | - | dakika 15 |
![]() | €1 | - | Mara moja | €1.50 | - | dakika 15 |
![]() | €1 | - | Mara moja | €1.50 | - | dakika 15 |
![]() | €1 | - | Mara moja | |||
![]() | €1 | - | Mara moja | €1.50 | - | dakika 15 |
![]() | €1 | - | Mara moja | €1.50 | - | dakika 15 |
![]() | €1 | - | Mara moja | €1.50 | - | dakika 15 |
![]() | €1 | - | Mara moja | €1.50 | - | dakika 15 |
![]() | €10 | - | Mara moja |
Usalama na Vidhibiti
22Bet Kenya imepewa leseni ya kufanyia bishara ya kamari huku nchini Kenya. Tovuti hii inatumia teknolojia ya 128-bit SSL ambayo ni ya kisasa katika kuhakikisha usalama wa shughuli zako zote umefuatiliwa. Vile vile, kampuni hii imepewa leseni na Serikali ya Curacao.
Programu ya 22Bet ya Uhusishi nchini Kenya
Kampuni ya 22Bet inakupa nafasi nzuri ya kushiriki katika programu yake ya uhusishi. Programu hii inayojulikana kama 22betparners program imefunguliwa kwa mtu yeyote aliye na blogu au tovuti ya kuieneza na hivyo kujipatia kipato kizuri kwa kupitia komisheni.Yaani, lengo kuu la programu hii ni kuwasajili wateja wapya na kupata komisheni ya kutoka asilimia 25 hadi 40. Ili kupata habari zaidi, tembelea programu hii katika 22Bet Kenya hapa 22betpartners.com.
Maswali Yaliyoulizwa kwa Wingi
Kampuni ya 22Bet Kenya inapeana bakshishi yoyote bila kuwekeza pesa kwenye akaunti?
La hasha, 22Bet haitoi bakshishi yoyote pasipo na kuwekeza pesa za kwanza katika akaunti ya mteja. Badala ya hilo, unaweza ukapata bakshishi nyingine murwa katika tuzo nyingine tofauti za 22Bet. Ili mradi umesoma sheria na masharti, basi utapata tuzo hizi.
Ninaweza nikapata utabiri wa mechi wapi hii leo?
Unaweza ukafanya uchambuzi wa michuano na spoti kadha pamoja na kuzungumza na wacheza kamari wengine ili kusikia maoni yao kuhusiana na mechi tofauti. Ukifanya hivi, utaweza kufanya utabiri kwa weledi.
Kuna uwezekano wa kuighairi dau niliyowekeana?
Naam, una nafasi ya kughairi dau uliyoiwekeza kabla ya mchuano uliyouwekezea kuanzia. Pesa ulizokuwa umewekeza zitarudishwa kwenye akaunti yako.
Ninaweza vipi kuwekeza dau katika 22Bet Kenya?
Ili kuwekeza dau katika 22Bet Kenya, unafaa kuwa na salio la pesa unazotaka kuziwekeza. Kama huna pesa, unaweza ukaziweka kupitia kwa njia tofauti za malipo. Ukikamilisha uwekaji wa fedha, chagua sehemu ambayo unaipenda katika uwekezaji. Unaweza ukachagua spoti au sehemu ya michezo ya moja kwa moja katika menyu kuu ya tovuti. Tazama odi zilizopo kwa makini ili kujua ni wapi utawekeza dau yako. Baadaye, bonyeza odi uliyoichagua ili kuongeza mchuano huo katika slipu yako ya dau. Kulingana na mapenzi yako, unaweza ukachagua iwapo unataka dau moja, dau mnyororo au dau ya mkusanyiko almaarufu accumulator bet na kisha uongeze kiwango cha pesa ambazo ungependa kuwekeza. Malizia kwa kubonyeza kifungo cha ‘Weka dau’ na hapo kiwango ulichoweka kitatolewa kutoka kwa akaunti yako ya 22Bet dau hiyo ikikubalika.
Kando na KES, kampuni hii inakubali sarafu za aina nyingine kweli?
22Bet inakubali takriban sarafu zote kuu ulimwenguni. Baadhi ya sarafu hizi ni kama dola ya kimarekani, paundi ya Uingereza, Rupee ya India na nyinginezo. Hili linakupa nafasi ya kuwekeza dau licha ya sarafu uliyo nayo.
Ninahitaji kuithibitisha akaunti yangu kweli?
Naam, kuna wakati ambapo utahitajika kuthibitisha akaunti yako kwa njia ya kupeana hati muhimu pamoja na maelezo kuhusu nambari yako ya rununu, baruapepe na nambari yako ya kitambulisho.
Ni michezo ipi ambayo naweza kuiwekezea dau?
Kuna michezo mingi sana ya kuwekezea dau katika 22Bet. Michezo hii ni kama mpira wa wavu, soka, kriketi, kandanda, uendeshaji baiskeli, tenisi na snooker. Vile vile, una nafasi ya kuwekeza katika maonyesho na vipindi vya runinga na matukio ya moja kwa moja. Unaweza hata kucheza nasibu mtandaoni.
Usaidizi wa Wateja na Njia za Mawasiliano
Kwa maoni binafsi, kampuni hii inafanya vyema katika upande wa odi na soko za kuwekeza miongoni mwa Nyanja nyingine. Haya yanakamilishwa na uwekezaji wa moja kwa moja pamoja na bakshishi anuwai ili kuwavutia wateja. Hata hivyo, hii ni kampuni ya kuvutia ikikumbukwa jinsi inavyojikaza kuwapa wateja matukio mengi mno, chaguo anuwai za kuwekeza pamoja na mamia ya lugha inazozitumia katika kamari yake. Kushinda fedha nyingi unaweza kuwa umedhibitiwa naam, lakini matukio ni mengi mno na hukosi mchezo wa kuwekezea.
Ili kuwasiliana na timu ya usaidizi kwa wateja, unaweza ukazungumza nao kupitia njia hizi;
- Usaidizi wa Kiufundi: support-co.ke@22bet.com
- Idara ya Usalama: security@22bet.com
- Usaidizi wa Malipo: payments@22bet.com
- Usaidizi kwa Wateja: complaints@22bet.com
Uamuzi wa Mwisho na Makadirio ya Ubora
Naweza kuipa kampuni hii 8/10 nikifuatilia uzuri wake kadha kwa wacheza Kamari wake. Hata hivyo, odi zake kwa njia moja au nyingine sizo nzuri zaidi katika soko ya kuwekeza dau nchini Kenya.