10,000 TSh kwa wachezaji Wapya
 • Tabia mbaya
 • Michezo anuwai
 • Karibuni kutoa ofa
Casino
E-Sports
Virtual Sports
18+ T & C inatumika | gamingboard.go.tz | Cheza kwa uwajibikaji

Uhakiki wa Betway Tanzania

Betway ni kampuni tajika mno kwenye ulingo wa michezo ya kamari, kasino, beti za spoti, kasino ya moja kwa moja, beti za spoti za moja kwa moja na sehemu nyingine nyingi. Betway ina uzoefu wa Nyanja hii ya uchezaji wa miaka mingi tangu ilipozinduliwa nchini Malta mwakani 2006. Kutoka wakati huo, kampuni hii imekua na kunawiri mno na kufungua ofisi katika nchi mbali mbali ulimwenguni. Baadhi ya ofisi za operesheni za kampuni ya Betway zinapatikana katika nchi za UK, Isle of Man na Afrika Kusini. Ili kuendeleza shughuli pasi na ukiukaji wa sheria, Betway inafanya kazi chini ya uangalifu mkali wa leseni si haba katika nchi tofauti.

Tembelea Betway TZ
18+ T & C inatumika | gamingboard.go.tz | Cheza kwa uwajibikaji
Website: www.betway.co.tz
Aina: Traditional
Founded: 2006
Country: Uingereza
License: United Kingdom Gambling Commission, Malta Gaming Authority

Betway inafanya shughuli zake katika bara la Afrika vile vile. Hivyo, tunanuia kufanya uhakiki huu kwa wachezaji wa Tanzania ili kuwafungua macho kuhusiana na huduma za Betway nchini humo.


Spoti Zinazotolewa na Betway kwa Watanzania

Unapotafuta kampuni njema na bora ya beti, ni vizuri kufanya ukaguzi mkubwa kuhakikisha ina upana wa spoti wa kutosha. Kuwepo kwa spoti nyingi kunakuwezesha kuwa na machaguzi mengi pamoja na masoko unapotaka kuweka dau zako. Tulipofanya ukaguzi wetu kwa ufasaha, tulikumbana na baadhi ya spoti ambazo unaweza kuweka beti kwake katika Betway Tanzania. Spoti hizi ni kama zilivyoorodheshwa hapa chini:

 • American Football
 • Bandy
 • Baseball
 • Basketball
 • Biathlon
 • Boxing
 • Cricket
 • Cycling
 • Darts
 • Golf
 • Handball
 • Ice Hockey
 • MMA
 • Rugby
 • Snooker
 • Table Tennis
 • Tennis
 • Volleyball
 • Air Hockey
 • Alpine Skiing
 • Aussie Rules
 • Beach Volleyball
 • Bowls
 • Cross Country Skiing
 • eSports
 • Floorball
 • Football
 • Formula 1
 • Futsal
 • Horse Racing
 • NASCAR
 • Politics
 • Ski Jumping
 • Specials
 • Speedway
 • Surfing
 • TV Shows and Movies
 • Water Polo
 • WWE

Upana wa Beti za Betway Nchini Tanzania

Katika utathmini wa upana wa beti za Betway Tanzania, tunaangazia vigezo vitatu muhimu. Vigezo hivi ni kama vile masoko ya beti yanayopatikana, aina za odi na aina za beti vile vile. Sana sana, vigezo hivi ndivyo wachezaji wengi mno hufuatilia ili kufanta uamuzi iwapo kampuni ya beti inawafaa.

Tulipoangazia masuala haya matatu muhimu, tulitosheka na yote kwani katika odi, Betway inawapa wachezaji wa Tanzania fursa ya kuchagua kati ya odi za desimali na zile za akisami. Zaidi ya hayo, spoti zote zilizoorodheshwa hapo juu zinakupa odi njema zinazotofautiana kutoka spoti moja hadi nyingine.

Masoko ya beti katika Betway nayo ni ya kukuchanganya utachagua soko lipi kwa wingi wake. Baadhi ya masoko tajika ni kama over/under, match results, handicaps, both teams to score, overall winner, Draw no bet na mengineyo.

Utathmini wetu wa aina za beti katika Betway nao ulitupa aina tatu za beti ambazo ni beti za michezo inayoendelea almaarufu live betting, beti za michezo ijayo almaarufu pre-match na beti za papo hapo ama outright bets. Unapoanza kucheza katika Betway, unaweza kachagua aina yoyote ya beti ambayo inakupa ushindi wa fedha kiwango kizuri kutokana na udadisi wako wa timu.


Umbo la Tovuti na Utumizi Wake

Ubunifu wa tovuti ya Betway Tanzania

Waama, hakuna mchezaji yeyote anayependa kuweka dau katika tovuti inayomsumbua na kuchukua muda mrefu kuabiri. Hivyo, Betway imeunda tovuti iliyo na umbo nzuri la kuvutia kutoka kwa matumizi ya rangi za kupendeza hadi kwa uwepo wa linki nyingi zinazofunguka kwa wepesi wa ajabu.

Unapovinjari tovuti hii kwa mara ya kwanza, utafurahia menyu kadhaa zilizowekwa katika sehemu zinazoonekana kwa urahisi. Vile vile, utapendezwa na pateni maridadi zilizofikiwa kwa kutumia rangi kadha kama vile nyeusi, kijani na nyeupe. Sehemu kubwa ya tovuti ya Betway imegawanyika katika safuwima tatu na iliyo kwenye ukingo wa kushoto inakupa gemu zinazoendelea pamoja na mabo mengine muhimu. Safuwima ya kati inakupa nafasi iliyo na odi na matukio na ya kulia yakupa mkeka wa kuweka beti.

Vile vile, sehemu ya chini ya tovuti ya Betway Tanzania inakupa linki kadha za kukuwezesha kuabiri sehemu kadha kwenye Betway TZ.


Utaratibu wa Kusajili kama Mchezaji wa Betway

Kama ilivyo kanuni katika tovuti nyingi za kamari, ni vigumu kukubaliwa kucheza kabla hujafanya usajili wa akaunti yako maalum. Ili ucheze kwenye Betway, ni lazima ufanye usajili kwa kufuata utaratibu mfupi ulio na hatua hizi hapa chini:

Usajili wa Betway Tanzania
 1. Zindua tovuti ya Betway kutoka kwa simu ama kompyuta yako na ubonyeze sehemu ya usajili iliyo kwenye kona ya kulia ya kiwamba chako.
 2. Baada ya kubofya, utapata fomu ya usajili iliyo na kurasa mbili tofauti na ambazo zahitaji uweke maelezo yako ya kibinafsi.
 3. Baadhi ya maelezo haya ni kama jina, nambari ya simu, baruapepe, nywila, lugha, tarehe ya kuzaliwa na kodi ya bakshishi.
 4. Baada ya kuweka maelezo yote haya, malizia utaratibu huu kwa jusajili akaunti yako na uweke pesa ili uanze kushiriki michezo.

Sajili huko Betway Tanzania


Ofa ya Wachezaji Wapya wa Spoti

Ubunifu wa tovuti ya Betway Tanzania

Aghalabu, tovuti nyingi za kamari na beti mtandaoni zinawapa wateja wao bakshishi ya mwaliko almaarufu welcome bonus ili kuwapa chanzo cha kucheza, kuburudika, kushinda na hata kujiliwaza. Betway haijaachwa nyuma kwa hili kwani pia inawatuza wachezaji wapya ubashiri wa bure wa shilingi za Tanzania 10,000.

Ubashiri huu wa bure utaupata baada ya kusajili akaunti yako mpya na kufuatilia mambo haya muhimu mno:

 • Ofa hii ni ya wachezaji wapya wa Tanzania ambao wana umri wa miaka 18 kwenda juu na waliosajili akaunti katika Betway.
 • Kiwango cha chini cha amana ni TSh 100 au zaidi.
 • Utapata bonasi ya bure ya malipo inayolingana na 50% ya amana yako.
 • Wager it 3x juu ya bets na tabia mbaya 3.00 au zaidi.

Pata bonasi yako

18+ T & C inatumika | gamingboard.go.tz | Cheza kwa uwajibikaji

Linganisha Betway na wabahatishaji wengine

Betway
Watengenezaji Vitabu zaidi
Karibu Bonasi
TSh 10,000
Ukadiriaji
9.2
Asilimia ya Bonasi
50%
Kiwango cha chini cha Amana
TSh 100
Mahitaji ya kuchezea
3x
Live Betting
Utiririshaji wa Moja kwa Moja
Cashout
Programu
Tembelea Betway TZ
18+ T & C inatumika | gamingboard.go.tz | Cheza kwa uwajibikaji


Kubeti kwa Michezo Inayoendelea almaarufu Live Betting

Betway Tanzania live bet

Live betting ama uwekaji wa dau katika michezo inayoendelea ni jambo muhimu sana na ambalo wachezaji wengi wanalisaka wanapofungua tovuti yoyote ile. Sababu moja kuu inayofanya wachezaji wapende sehemu hii ni kuwa unaweka dau huku ukitazama matukio katika uwanja. Je, ni magoli mangapi yamefungwa hadi sasa? Ni timu gani iliyo na mpira kwa wakati mwingi? Ni timu ipi inayoonyesha umahiri zaidi? Majibu kwa maswali haya yatakuwezesha kufanya uamuzi wa busara na kuweka dau ambapo pana chansi kubwa ya ushindi.

Ili kufurahia huduma ya sehemu hii, unafaa kuingia kwenye tovuti ya Betway na mara moja ubonyeze sehemu ya โ€˜Zinazoendeleaโ€™ Hapa, utakumbwa na orodha kamilifu ya spoti zote zilizo na matukio na utafanya uchaguzi wa spoti yako, matukio yaliyopo, masoko, odi na hata aina ya beti.

Baadhi ya spoti zilizokuwa na bango la โ€˜liveโ€™ kando yake ni kama tenisi, kriketi, soka, mpira wa wavu, futsal, gofu na nyinginezo.


Prodakti za Kubeti katika Spoti za Betway

Unapoweka beti zako katika Betway, hutafurahia ushindi peke yake kwani tovuti hii imekupa prodakti nyingine maalum za kufurahia unapoweka dau zako. Baadi ya prodakti hizi zinakuwezesha kuokoa fedha ulizoweka kama bet na nyingine zinakupa mtazamo mzuri wa mechi. Kwa sasa, hebu tuchanganue prodakti hizi moja baada ya nyingine:

Sifa ya Kutoa kama Mechi Bado Inaendelea
Kutazama Mechi Moja kwa Moja kama Inavyoendelea kwenye Tovuti ya Betway
Sifa ya Kijenga Beti

Michezo ya Spoti za Kielektroniki almaarufu esports

Betway Tanzania eSports

Kwa bahati nzuri wachezaji wa Tanzania wanaweza wakashiriki katika michezo ya spoti za kielektroniki katika Betway. Hata hivyo, sehemu hii iliyoorodheshwa kwenye menyu kuu kama Esports ina michezo michache tu amabayo ni Counter Strike na League of Legends. Licha ya kuwa na uchache huu, bado sehemu hii inachangia pakubwa mno kuhakikisha wateja wa Betway Tanzania wanatosheka.


Sehemu ya Kasino ya Betway

Katika uhakiki mpana wa Betway katika nchi nyingine, ni hakika kuwa tovuti hii inawapa wateja wake nafasi ya kucheza katika kasino na live casino. Hata hivyo, wateja wa Betway Tanzania hawana nafasi ya kucheza katika sehemu hizi mbili kwa sasa. Tunatumaini Betway itawapa wachezaji wa nchi hii nafasi ya kucheza michezo ya kasino na kasino ya moja kwa moja hivi karibuni.


Programu ya Rununu ya Betway Tanzania

Programu ya rununu ya Betway Tanzania

Kwa sasa, Betway Tanzania haina apu yoyote maalum kwa wachezaji wake. Hivyo, watumizi wa rununu za mfumo wa Androidi na wale wa iOS hawana uwezo wa kuweka apu kwa simu zao. Hata ngawa kuna ukosefu huu wa apu, wachezaji wote wa Betway wanaweza kucheza spoti zote na hata zile za kilelektroniki kwa matumizi ya tovuti ya rununu. Tovuti hii inapatakana kwa kuweka URL ya Betway katika kivinjari chochote kile.

Utumizi wa tovuti ya rununu ya Betay ni rahisi mno. Unapofungua tovuti hii unafaa kusajili akaunti yako mpya au uingie kwenye akaunti yako ya kale na uweze kuweka beti zako bila hitilafu yoyote. Baadhi ya huduma utakazopata kwa tovuti ya rununu ni uzungumzaji na huduma ya wateja, kuweka na kutoa miongoni mwa nyingine.


Njia za Malipo

Ili kuweka beti zako na ushinde pesa taslimu, unahitajika pia kuweka pesa kwenye akaunti yako. Betway inahakikisha kwamba jambo hili linafanyika kwa urahisi kwa kubuni njia mwafaka mno za kuweka na kutoa fedha. Njia hizi zimegawanyika katika zile za kuweka na za kutoa na zote zimeorodheshwa katika majedwali hapa chini:

Njia ya malipo Amana Min Amana Max Muda wa Amana 
Airtel Logo AirtelTSh 1,000TSh 1,000,000Mara moja
M-Pesa Logo M-PesaTSh 100TSh 1,000,000Mara moja
Tigo Logo TigoTSh 1,000TSh 1,000,000Mara moja
Vodacom Logo VodacomTSh 1,000TSh 1,000,000Mara moja
Njia ya malipo Uondoaji Min Uondoaji Max  Muda wa Kuondoa 
Airtel Logo AirtelTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3
M-Pesa Logo M-PesaHaipatikaniHaipatikaniHaipatikani
Tigo Logo TigoTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3
Vodacom Logo VodacomTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3

Usalama na Udhibiti

Usalama ni nguzo muhimu mno katika uchezaji wa mtanadoni. Kwa nyakati hizi ambapo uhalifu wa kimtandao umenawiri na kuenea, wachezaji wanaogopa sana kuwa huenda maelezo yao yakatumika vibaya na watu wasiokusudiwa. Ili kuwapa wateja ukakamavu wa kucheza bila woga ama ati ati za usalama, Betway imeweka mikakati kadha. Baadhi ya mikakati hii ni kama sera ya faragha inayoeleza jinsi maelezo ya wachezaji yanavyotumiwa na vile vile matumizi ya njia ya SSL encryption technology ya kufungia data.

Zaidi ya hayo, ni vizuri uelewe kwamba shughuli za Betway nchini Tanzania zinaangaliwa vikali na Wizara ya Fedha. Wizara hii imeweka masharti kadha ambayo ni lazima yafuatwe na kampuni zote za kamari nchini Tanzania pasi na kukosa.

Vile vile, fahamu kwamba matokeo yote ya michezo ya Betway ni ya haki na kweli wala hayana mapendeleo yoyote kwa wachezaji fulani.


Programu ya Washirika

Ili kujiletea wateja wengi zaidi, Betway ina programu ya washiriki. Programu hii inanuia kuwalipa wachezaji wengine watakaoweza kuwaleta wachezaji wapya katika Betway. Ili ufaulu katika zoezi hili, utapewa vifaa vya kuuza jina la Betway katika mitandao ya kijamii au hata kwenye tovuti yako maaalum. Komisheni unayopata kutoka kwenye programu hii inategemea bidii zako.


Maswali ya Mara Kwa Mara

Je, Betway Tanzania ni halali?

Naam, Betway ni halali. Kulingana na uhakiki wetu, Betway inaendelezwa chini ya udhabiti mkali wa Bodi ya Michezo ya Wizara ya Fedha hapa nchini Tanzania. Vile vile, kuna mikakati kadha ya kulinda wachezaji wote.

Je, ninaweza kuthibitisha akaunti yangu vipi?

Uthibitishaji wa akaunti yako ya Betway nchini Tanzania unakuhitaji kupakia nyaraka na vitabulisho kadha.

Je, ninawezaje kudungua apu ya Betway hapa Tanzania?

Kwa bahati mbaya, Betway haina apu yoyote ya rununu. Hata hivyo, tunatumaini Betway itatoa apu hivi karibuni.

Nitafanya nini nikisahau nywila yangu ya akaunti?

Unaposahau nywila ya akaunti yako, unafaa kuwasiliana na huduma kwa wateja ili wakusaidie kurekebisha au kuunda nywila jipya. Vile vile, unaweza kurekebisha neno la siri kwa kuchagua โ€˜Nimesahau neno la siriโ€™ chini ya kichupo cha kuingia kwenye akaunti yako.

Ni lazima niwe na msimbo wa bakshishi ili niweze kufurahia bakshishi za Betway?

La hasha, sio lazima uwe na msimbo wowote maalum wa bakshishi ili ufurahie ofa za Betway. La muhimu ni kuwa na akaunti na kufuata sheria na masharti ya kila ofa.

Ni njia zipi za malipo ambazo ni za bure kutumia?

Njia zote za malipo katika Betway ni za bure. Hakuna hata moja inayokuhitaji kulipa chochote.

Ninaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja kwa njia ya rununu katika Betway?

Kwa bahati mbaya, Betway haina nambari yoyote ya rununu kwa ajili ya mazungumzo na usaidizi wa wateja wake.


Kuhusu Betway TZ

Katika ramani ya michezo ya kamari na beti ya dunia, Betway imeshika nafasi kubwa na njema mno kwa huduma zake murwa. Kampuni hii inawapa wachezaji sehemu ya kamari ya spoti, kasino, kasino ya moja kwa moja, spoti za kielektroniki, na sehemu nyingine. Betway ilizinduliwa mchini Malta mwaka 2006. Kwa muda wa takribani miaka 15, tovuti hii imekuwa ikijizatiti kuwafikia wateja wengi zaidi na kwa sasa imeingia hapa Afrika katika mataifa ya Kenya, Tanzania, Uganda, Afrika Kusini, Ghana na Nigeria mingoni mwa mengine. Kwa makadirio tu, Betway ina takribani wateja milioni 15 kote ulimwenguni.


Sapoti na Njia za Mawasiliano

Betway inataka kuhakikisha kwamba umekuwa na muda bora katika tovuti yake. Hivyo, inakupa sapoti murwa na iliyo na upendo wa kujibu maswali yote ya wateja. Ili kufikia sapoti hii, ni lazima pawe na njia mwafaka za mawasiliano. Njia hizi ni kama zifuatazo:


Kadirio la Mwisho

Kutokana na mengi tuliyokumbana nayo katika uhakiki wetu wa Betway Tanzania, tunaamini kuwa tovuti hii ni chaguo la wateja wengi wa michezo ya kamari. Baadhi ya sababu zilizotupelekea kuamini hili ni kama kuwepo kwa sera faafu za kulinda wateja, bakshishi murwa, tovuti ya kuvutia na michezo mingi ya spoti. Vile vile, tumependezwa sana na huduma bora kwa wateja, masoko mengi mno na odi za kutamanika.

Tunaikadiria Betway Tanzania 9.2/10

Jiunge na Betway

Mwandishi: Teodor Todorov
Mtaalam aliyeidhinishwa wa iGaming
Teodor Todorov
Teodor ni mtaalam aliyeidhinishwa wa kamari & uwekezaji na mhariri. Alichapisha hakiki hii iliyoandikwa na mzungumzaji mzaliwa wa Kiswahili ambaye anafanya kazi katika kampuni ya Silentbet Tanzania kama mwandishi wa nakala.