10,000 TSh kwa wachezaji Wapya
18+ T & C inatumika | gamingboard.go.tz | Cheza kwa uwajibikaji
Bonus code valid for: 19 Jun 2024

Kodi ya bakshishi ya Betway Tanzania

🎁 Betway TZ Bonasi ya Karibu ya AmanaShika dau la bure la TSh 10,000
πŸ’ Ofa ya kurudishiwa pesaPata dau lako la 20x
πŸ’Ž Boost Betway TanzaniaPata nyongeza ya 100% ya dau anuwai
πŸ‘‰ Msimbo wa bonasi wa Betway wa TanzaniaIpate hapa

Chagua bonasi


Namna ya Kutumia Kodi yako Maalum ya Bakshishi ya Betway

Unapotaka kunufaika na bakshishi za tovuti yoyote ile ya kamari na beti, aghalabu utahitajika kusajili akaunti na uweke kodi maalum itakayowezesha ofa kwenye hiyo akaunti yako jipya. Kodi hii mara nyingi hutolewa na kampuni ya beti na lengo letu katika uhakiki huu ni kujua jinsi utakavyoiweka kodi ya ofa ya Betway kama mchezaji wa Tanzania. Huu hapa ni utaratibu wa kuisajili akaunti ulio na sehemu ya kodi hii:

Nambari ya ziada ya Betway Tanzania ingiza
 1. Nenda kwenye tovuti ya Betway Tanzania na katika upande wa kulia, bofya kitufe cha ufunguzi wa akaunti jipya.
 2. Fomu ya usajili wa akaunti yenye kurasa mbili itachipuka na unafaa kutoa maelezo kadha wa kadha kujihusu. Haya ni kama jina, baruaepe, lugha, namba ya simu, tarehe ya kuzaliwa na mengineyo.
 3. Katika ukurasa wa pili wa fomu hii, kuna kipengo maalum cha kuingiza kodi au msimbo wa bakshishi ya Betway.
 4. Yasome masharti ya Betway na sera yake ya faragha na ukubaliane na vigezo hivi viwili ili kuendelea na usajili.
 5. Baadaye kamilisha usajili wako kwa kubonyeza β€˜Jisajili’ na kutoka hapo akaunti yako iko sawa kuanza kuweka beti.

Ofa ya Ufunguzi wa Akaunti kwa Wanaopenda Michezo ya Spoti ya Betway

Ubunifu wa tovuti ya Betway Tanzania

Ili kuwakaribisha wateja wapya kwa bashasha na shangwe, tovuti ya Betway ina zawadi kem kem kwenye basketi yake ya promosheni. Zawadi ya kwanza na ya maana zaidi kwa wachezaji wapya ni ile ya mwaliko au ufunguzi wa akaunti kwa wateja wapya. Toa amana ya TSh 100 au zaidi na uchukue dau lako la bure.

Betway inakupa kiwango cha shilingi za Tanzania 10,000 na hili linakuwezesha kuweka beti upendazo bila wasi wasi wowote na kujiandaa kupokea ushindi wa ajabu.

Kwa kufuatia msemo wa hakuna njema lipatikanalo kwa wepesi, Betway imetoa sheria na masharti kadhaa ambayo wachezaji wote wapya wa Betway wanafaa kufuatilia ili wafurahie bakshishi hii mpya. Katika orodha hii, tumechanganua yale masharti muhimu zaidi na ni kama yafuatayo:

 • Utazawadiwa ubashiri wa bure usiopungukia na usiozidi TSh 10,000.
 • Uhitimu wako wa kupokea bakshishi hii unaamuliwa na kampuni ya Betway.
 • Tumia dau lako la bure na hitaji la kubashiri la 3x.
 • Tabia mbaya lazima iwe 3.0 au zaidi.

Pata Bonasi Hii

18+ T & C inatumika | gamingboard.go.tz | Cheza kwa uwajibikaji

Compare Betway bonuses with other bonuses

Betway
Watengenezaji Vitabu zaidi
Karibu Bonasi
TSh 10,000
Ukadiriaji
9.2
Asilimia ya Bonasi
50%
Kiwango cha chini cha Amana
TSh 100
Mahitaji ya kuchezea
3x
Live Betting
Utiririshaji wa Moja kwa Moja
Cashout
Programu
Tembelea Betway TZ
18+ T & C inatumika | gamingboard.go.tz | Cheza kwa uwajibikaji


Ofa ya Ufunguzi wa Akaunti kwa Wanaopenda Kasino ya Betway TZ

Hata ingawa kampuni ya Betway inawapa wachezaji wake nafasi ya kushiriki michezo ya kasino, chaguo hili halipo kwa wateja wa Tanzania. Hivyo, hatuna tumaini kuwa kunaweza kukawa na ofa yoyote kwa wachezaji wa Tanzania. Labda tusubiri hadi wakati ambapo kasino ya Betway itafunguliwa kwa Watanzania.


Promosheni kwa Wateja Wengine wa Betway Tanzania

Promo ya Betway Tanzania inatoa

Kampuni za kamari na beti zina njia anuwai za kuwaruzuku wateja wake wa muda mrefu. Njia mojawapo ya hizi ni ile ya kuwapa wateja hawa bakshishi nyingi ili kuwawezesha kucheza mara nyingi na kupata ushindi. Promosheni hizi haziji kwa aina moja ila kwa miundo mingi ili kuwafurahisha wateja.

Baadhi ya vigezo muhimu vya bakshishi hizi ni kuwa hazina masharti makali ya kufuata, Vile vile, utaratibu wa kuzidai ni mwepesi kwa wateja wa aina zote. Baadhi ya promosheni tulizopata tulipokuwa tunafanya uhakiki wetu ni kama zifuatazo:

Kurejeshewa Fedha hadi Mara 20x kwa Bet Iliyogonga Nje

Promosheni ya urejeshaji wa fedha ulizoweka kwenye beti inafanya kazi kwa kukuwezesha kusapoti timu unazopenda. Unapoweka machaguo sita katika beti ya mkusanyiko na chaguo moja ligonge nje, Betway inaahidi kukurudishia beti yako hadi mara 20x bila kufeli.

Katika sehemu hii sasa, hebu tujaribu kuchanganua sheria na masharti ambayo ni lazima tufuate tunapoitumia promosheni hii:

 • Mwanzo, hakikisha beti yako ya mkusanyiko ina machaguo 6 hadi kumi na kila chaguo lazima lionyeshe odi ya 1.5 kwenda juu.
 • Pili, fahamu kuwa beti zitakazohitimu kwenye ofa hii ni zile zilizowekwa kwa pesa taslimu pekee.
 • Tatu, iwapo utatumia huduma ya kutoa kabla ya mechi almaarufu cash out, basi beti hiyo haitahitimu kwenye ofa hii ya urejesho.
 • Urejesho huu wa steki unawezekana wakati unaangushwa na chaguo moja tu wala siyo mawili.
 • Beti zote za papo kwa hapo, zile za michezo inayoendelea na hata za michuano ijayo zinahesabika zote kwenye ofa hii.

Busti ya Ushindi katika Beti ya Mkusanyiko kwa asili mia 100%

Kichocheo hiki kinakuwezesha kufurahia ushindi uliopigwa jeki na Betway. Ili ushindi wako upigwe jeki, unafaa kuwa umeshinda katika beti ya mkusanyiko. Kumbuka kuwa jinsi machaguo yalivyo mengi, ndivyo busti yako ilivyo juu.

Ni lazima uyafuate masharti haya ili ushindi wako upigwe busti ya Betway:

 • Ili upate busti, ni lazima uweke machaguo ya michuano ambayo itafanyika baadaye kwa kutumia pesa taslimu pekee.
 • Ni lazima kila chaguo kwenye slipu yako ya mkusanyiko liwe na odi ya 1.2 kwenda juu.
 • Ni lazima beti yako ya mkusanyiko iwe na angalau machaguo matano ili upate busti ya ushindi wako.
 • Baada ya kuamuliwa, busti yako itawekwa kwenye akaunti yako kama pesa taslimu.
 • Kama baadhi ya machaguo yako yamekatishwa ama kutupiliwa mbali, busti yako itahesabiwa kutoka kwa machaguo yaliyobaki.

Uzuri na Udhaifu wa Bakshishi za Betway

Bila shaka, hakuna njema lisilo na kasoro yake. Unapowaza kuhusu bakshishi za Betway, ni vyema ujiulize iwapo ni vizuri kuzichukua bakshish hizi ama unafaa kuziacha. Ili kukuwezesha kufanya uamuzi wa haraka, tunakuorodheshea uzuri na udhaifu wa bakshishi hizi kama ifuatavyo:

 • Uzuri wa Bakshishi za Betway
 • Ni rahisi kudai bakshishi hizi
 • Huhitaji msimbo wowote wa bakshishi kudai ofa
 • Ofa njema zinazokupa ushindi mkubwa
 • Zinapatikana kwa wingi
 • Huhitaji kuweka pesa za kwanza ili kupata bakshishi
 • Udhaifu wa Bakshishi za Betway
 • Ni lazima usajili akaunti ili upate ofa
 • Baadhi ya ofa zina masharti makali
 • Huwezi kudai ofa mbili kwa wakati mmoja

Bakshishi ya Betway Isiyohitaji Uwekaji wa Pesa za Uhitimu

Baadhi ya bakshishi zinzotolewa na kampuni za kamari na beti zinahitaji uweke kiwango fulani cha fedha ili uhitimu kuzipata. Kiwango hiki kinaitwa qualifying deposit kwa kimombo na Betway haikuhitaji kuweka pesa kama hizi ili upate ofa. Waama, bakshishi za Betway zote hazihitaji uweke fedha zozote. Masharti makuu ni yale ya kuhakikisha kuwa unaweka machaguo yanayokuhitimisha kupata ofa na pia uangazie odi zinazohitajika.


Je, kuna ofa Maalum kwa Wateja wa Betway wa Rununu?

Hata ingawa Betway haina apu maalum kwa wateja wake wa iOS na Androidi, inawapa wachezaji wake wa Tanzania nafasi ya kucheza katika rununu zao kupitia kwa tovuti ya rununu. Licha ya hili, Betway haitoi ofa yoyote maalum kwa wateja hawa wa rununu. Ili kuleta usawa na kususia ubaguzi wa wachezaji, kila mteja ana nafasi sawia za kudai ofa awe anacheza katika tarakilishi, kipakatalishi au hata simu ya rununu. La muhimu ni kupekua sehemu ya promosheni na kutafuta ofa inayokufaa.


Njia Za Malipo

Betway imewapa wachezaji wake njia kadha za kufanikisha malipo wanapoweka dau zao. Njia hizi zinafuatilia usalama sana ili kuwaokoa wateja kutokana na utapeli uliosheheni kwenye mitandao. Njia hizi tumezipanga kwa zile za kutoa na za kuweka kama unavyoona hapa kwenye majedwali haya:

Njia ya malipo Amana Min Amana Max Muda wa Amana 
Airtel Logo AirtelTSh 1,000TSh 1,000,000Mara moja
M-Pesa Logo M-PesaTSh 100TSh 1,000,000Mara moja
Tigo Logo TigoTSh 1,000TSh 1,000,000Mara moja
Vodacom Logo VodacomTSh 1,000TSh 1,000,000Mara moja
Njia ya malipo Uondoaji Min Uondoaji Max  Muda wa Kuondoa 
Airtel Logo AirtelTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3
M-Pesa Logo M-PesaHaipatikaniHaipatikaniHaipatikani
Tigo Logo TigoTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3
Vodacom Logo VodacomTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3

Maswali ya Moja kwa Moja

Ni lazima niwe na kodi ya bakshishi ya Betway ili nifaidike kweli?

La hasha, si lazima uwe na kodi yoyote ya bakshishi ya Betway ili upate ofa zinazotolewa na kampuni hii. Jambo la muhimu ni kufuata kanuni na masharti ya promosheni.

Je, naweza kudai free spins au free bets katika Betway?

Bakshishi ya free spins inapatikana katika upande wa kasino na Betway haina sehemu hii kwa Watanzania. Lakini, unaweza kupata ile ofa ya free bets katika ofa ya mwaliko ya tovuti hii ya Betway.

Nitafanya nini ili nipate bakshishi ya mwaliko ya Betway?

Ilikupata bakshishi ya mwaliko ya Betway, sajili akaunti jipya na kisha utatumiwa OTP ya kukuwezesha kupata ofa yako ya mwaliko.

Je, wachezaji wanaweza kupata ofa mbili katika Betway kwa wakati mmoja?

Kwa kawaida, wachezaji wa Betway wanapewa nafasi ya kufurahia ofa moja kila wakati. Huna nafasi ya kujumlisha ofa mbili kwa wakati mmoja.

Ninaweza kutoa bakshishi pindi tu inpowekwa katika akaunti yangu?

Hili litalingana na aina ya bakshishi uliyopewa. Baadhi ya bakshishi kama ubashiri wa beti haiwezi kutolewa baada ya kuzawadiwa na nyingine zinaweza kutolewa. Tuseme kwamba hili linalingana pakubwa na masharti ya ofa hiyo.

Nilisajili akaunti lakini sikupewa ofa yoyote ya wateja wapya. Nitaifuatilia vipi?

Iwapo ulisajili akaunti lakini hukupewa ofa yoyote ile, wasiliana na wahudumu wa wateja katika Betway ili tatizo lako litatuliwe na upewe ofa yako ya mteja mpya.

Ninaweza kufungua akaunti kadhaa za Betway?

Huwezi ukafungua akaunti zaidi ya moja katika Betway. Ukigundulika kuwa unajaribu kufanya hivyo, akaunti yako itafungwa papo hapo.


Makadirio ya Jumla ya Bakshishi na Promosheni za Betway Tanzania

Sport Welcome Bonus
92%
Ofa kwa wateja waliopo
90%
Sheria na Masharti
91%
Free Bets
91%
91%Overall Rating

Kufuatilia utathmini wa kina tuliyoufanya kuhusiana na bakshishi za Betway, tuna imani kuwa huwezi ukakosa ofa moja au mbili zitakazokupa ushindi wa kando. Katika kudai na kutumia ofa hizi, utakuwa na wakati mwepesi mno kwani sheria na masharti yake ni mepesi mno. Hata hivyo, tunatumaini Betway italeta bakshishi kwa wachezaji wa rununu ili nao wapate nafasi ya kuburudika kama wengine.

Karibu Bonasi
Jumla
TSh 10,000
Kwa Asilimia
50%
Kiwango cha chini cha Amana
TSh 100
Mahitaji ya kuchezea
3x
Min. Odd
3.00
Pata bonasi
18+ T & C inatumika | gamingboard.go.tz | Cheza kwa uwajibikaji
0 kitaalam kwa Kodi ya bakshishi ya Betway Tanzania
Chapisha ukaguzi

  Bado hakuna maoni yaliyoongezwa. Kuwa wa kwanza!

  Mwandishi: Teodor Todorov
  Mtaalam aliyeidhinishwa wa iGaming
  Teodor Todorov
  Teodor ni mtaalam aliyeidhinishwa wa kamari & uwekezaji na mhariri. Alichapisha hakiki hii iliyoandikwa na mzungumzaji mzaliwa wa Kiswahili ambaye anafanya kazi katika kampuni ya Silentbet Tanzania kama mwandishi wa nakala.